ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumanne, 5 Oktoba 2010

Blog ya Kilimanjaro Band

Kumekuweko na maombi ya kuweko na blog ya Wananjenje, ili kujua nini kinaendelea kwenye bendi na ikiwezekana kuchangia maoni katika shughuli za bendi, blog hii ni moja ya njia hizo za kuwezesha hali hiyo. Karibuni wapenzi wa Njenje. Blog itakuwa na maelezo ya Kiswahili na Kiingereza kadri hali itakavyowezekana.

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...