ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumamosi, 9 Oktoba 2010

Kilimanjaro Band

Kila Jumamosi, Kilimanjaro Band Wananjenje huwa katika ukumbi wa Salender Bridge Club kuanzia saa 4 usiku mpaka majogoo.

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...