Saturday 30 October 2010

Mkesha wa siku ya uchaguzi Njenje

"Mi Arsenal anagalia"
Waziri akikumbusha watu kwenda kupiga kura
Keppy akifanya sound check
Kosovo na mkewe, hapo nyuma gari la Babu Njenje-Datsun SSS-wakubwa mnazikumbuka? Joginder Singh alikuwa anazitumia kushinda mashindano ya magari ya East African Safari
Wanamuziki wa Fimbo Band wakisubiri kuja kuchapa muziki
He huyu nilimuona TBC kwenye yale mashindano ya kudance yaliyoishia hewani
Oyaa kunani paleeeeeeee
Gere mama gere mama
Au kampeni?
Soloist-Fimbo Band
Conga Fimbo Band
Mpiga Bezi Fimbo Bendi
 Mpiga kinanda Njenje


Kama kawa Jumamosi ilianza polepole na kupata spidi kali, wanamuziki kutoka bendi ya Fimbo walitumbuiza. Shughuli ililazimika kukatishwa saa 9 na nusu ili watu wakawahi kujitayarisha na uchaguzi. Nyimbo ya mwisho..Nchecheme nchecheme leo oyaye..................waniacha napinda mgongo e kwanini usinambie

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA