Sunday 10 October 2010

Njenje Salender Bridge jana 09.10.2010


 Kama kawaida jana ilikuwa raha tupu, birthdays nyingi, mpenzi mmoja wa Njenje alikuwa anatimiza miaka 60. Beya Mguto alikuwa ana sherehekea na mchumba wake Bi Rehema kuvishana pete ya uchumba na Njenje walikuwa wanasherehekea Jumamosi nyingine katika miaka 37 ya uhai wa  bendi.























1 comment:

  1. kusema ule ukweli nawamiss sana wananjenje ,hasa huyo babu njenje mwenyewe walahi nimemmiss saaaaaanaaaaaaa,kitime p,se mpe salamu zangu

    nyie njenje mtasherehekea hata miaka mia ya band yenu na mungu awape uhai na nguvu

    irene sangaaaaaa

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA