ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Ijumaa, 12 Novemba 2010

Mazoezini wiki hii

Mazoezini, haya mazoezi yalikuwa ya ghafla sana, kuna mtu alipata wazo la nyimbo tukapigiana simu na kukutana na kuanza kutengeneza kitu. Ilikuwa raha

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Blog hii ni nzuri mnoo. Haichoshi.Inauhalisia zaidi na kila kitu ni halisi. Waziri umependeza sana ukiwa ndani ya suruwali fupi. Full mdigo.
Naitwa Louie

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...