Friday 12 November 2010

Mazoezini wiki hii

Mazoezini, haya mazoezi yalikuwa ya ghafla sana, kuna mtu alipata wazo la nyimbo tukapigiana simu na kukutana na kuanza kutengeneza kitu. Ilikuwa raha





1 comment:

  1. Blog hii ni nzuri mnoo. Haichoshi.Inauhalisia zaidi na kila kitu ni halisi. Waziri umependeza sana ukiwa ndani ya suruwali fupi. Full mdigo.
    Naitwa Louie

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA