ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 7 Novemba 2010

Mduarani 6 November 2010

Baada ya shughuli za uchaguzi kwisha mduara umezunguka kama kawaida. Ukumbi unaboreshwa kwa kuezekwa na makuti na hivyo kupendeza na kuwezesha watu kukaa na kustarehehata kama mvua itanyesha. Jana ilikuwa Birthday ya Waziri Ally, kijana mdogo aliyemaliza 'seven' juzijuzi, Angel Mganga nae katimiza mwaka mwingine , Rachel alihakikisha bendi inalitambua hilo na kuhakikisha anaimbiwa wimbo wa birthday ukifuatiwa na mduara wa nyimbo mpya ya Nyoka. Zee la Nyeti na yule mtangazaji wa Times FM Alice walionyesha umahiri wao wa kukaa kwenye viti kwa muda mrefu bila kuumia. Mkali moja toka Temeke aliomba kurushwa watu wajue anakaa Temeke mtaa wa Sabasaba, Mashauzi alikuwepo, Musa Masharubu alikuweko. Joe Shumbusho alikuwa ndani ya nyumba baada ya kupotelea Marikani tangu miaka ya tisini, Eva Mbwana nae karudi Bongo baada ya kuweko UK kwa miaka nenda rudi , na alicheza nyimbo zoooooooooooote, chini ya ushauri wa Claire.

Eva in the middle of her brothers
 
Nina dume langu dume kila siku makelele

Kituo cha kazi shusha...wanasikika Times FM

Musa Masharubu

Man U

Man United teh teh teh

Nyota na Abou the percusionist

Zee la Nyeti mduarani

nauza vioo Kariakoo

Miuno

Miuno  zaidi

Kosovo and wife

Lambwalambwa lambwatika

Watasema mchanaee usiku watalala

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Kweli pombe si chai.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...