ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumatatu, 15 Novemba 2010

Njenje wawasili Muscat

 Keppy na Waziri safari ya kwenda lunch
Nje ya apartments tulizofikia

Stage ambapo litazungushwa duara

Milima ya huku mimea ni adimu, jua kali mawe kwa wingiii

Nyota na Abou wakitunga nyimbo mpya

Ngoja nile byeeeee
Katika safari ambayo ilikuwa ianze Jumanne tarehe 16, ghafla taarifa ilikuja kuwa safari ni Jumapili tarehe 14, na hivyo bendi ikalazimu kuharakisha ratiba zake kuwa mwaliko huo. Na sasa kundi zima la Njenje liko  Muscat Oman tayari kwa onyesho tarehe 17 jumatano katika ukumbi wa PDO.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Nawaonea Gere sana watu wa mascut kwa burudani iliyo ya kiwango cha juu watakayo ipata. Waziri mimi nitakuwa namfukuza nyoka kupitia clip yenu ya last week ilikuwa nzuri mno. Keppy safari ingalikuwa ya MELI ingekuwaje ? nawatakia onesho jema. Nyoka huyooooooooo! na ushanga atauvaa.

Bila jina alisema ...

Wandugu hamjambo? vipi maandalizi ya show kesho? hope quality ya sound itatisha. Play list iko tayari? nawatakia usiku mwema sana . Tunawakosa sana hapa home. Sijui sikukuu itakuwaje BILA NJENJEEEEEEE!

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...