Wednesday 17 November 2010

Show ya Njenje Muscat PDO

Tulianza matayarisho saa nne asubuhi onyesho lilianza saa mbili usiku na kuisha saa nane usiku, kuna wapenzi wengi wa Njenje Muscat, Kiswahili utadhani uko Kariakoo
kuwasili asubuhi


Matayarisho

Vyombo vilikuwa na tatizo mixer ilikuwa ndogo kuliko tunayotumia kwa kawaida





Jioni






gere mama yanguuuueeeeeeeeee

JFK na Nyota


raha ndani ya roho

Babu Njenje ndani ya Conga

1 comment:

  1. Bravo bravo people! asante kwa kutung'arishia ughaibuni...

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA