Thursday 23 December 2010

Ratiba za Xmas na Mwaka Mpya

Mkesha wa Xmass na Siku ya Xmass , mkesha wa Mwaka Mpya na siku ya Mwaka Mpya Kilimanjaro Band watakuwa Salender Bridge Club, palepale mahala pao pa kawaida, kuanzia saa nne za usiku
Merry Xmass and Happy New Year

Saturday 11 December 2010

Njenje walitumbuiza harusi ya Mzee Churchill mwaka 1974

Mzee Mohamed Bakari aka Churchill leo hii

Siku ya harusi yake  akiwa na mkewe 1974, katika ukumbi wa Police Mess Tanga.

Churchill akicheza na mkewe, bendi iliyopiga muziki siku hiyo ilikuwa The Revolutions, ambayo sasa inaitwa Kilimanjaro Band
Mzee Mohamed Bakari Churchill alikuwa mwanamuziki mpiga rythm na second solo,katika  Urafiki Jazz Band wana Chakachua. Siku ya harusi yake (1974), ambayo sherehe yake ilifanyika katika ukumbi wa Police Mess Tanga, bendi iliyotumbuiza ilikuwa The Revolutions, ambayo sasa inajulikana kama The Kilimanjaro Band. Anakumbuka siku hiyo aliombwa apige nyimbo moja kuonyesha umahiri wake katika muziki na akafanya hivyo. Na ni mwaka huohuo ambapo wimbo wa Njenje ulianza kupigwa na Bendi hii.

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA