ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumamosi, 11 Desemba 2010

Njenje walitumbuiza harusi ya Mzee Churchill mwaka 1974

Mzee Mohamed Bakari aka Churchill leo hii

Siku ya harusi yake  akiwa na mkewe 1974, katika ukumbi wa Police Mess Tanga.

Churchill akicheza na mkewe, bendi iliyopiga muziki siku hiyo ilikuwa The Revolutions, ambayo sasa inaitwa Kilimanjaro Band
Mzee Mohamed Bakari Churchill alikuwa mwanamuziki mpiga rythm na second solo,katika  Urafiki Jazz Band wana Chakachua. Siku ya harusi yake (1974), ambayo sherehe yake ilifanyika katika ukumbi wa Police Mess Tanga, bendi iliyotumbuiza ilikuwa The Revolutions, ambayo sasa inajulikana kama The Kilimanjaro Band. Anakumbuka siku hiyo aliombwa apige nyimbo moja kuonyesha umahiri wake katika muziki na akafanya hivyo. Na ni mwaka huohuo ambapo wimbo wa Njenje ulianza kupigwa na Bendi hii.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Blog nzuri sana lakini jaribuni kutuwekea nyimbo zenu tuwe tunasikiliza, hasa nyimbo ile ya kisukuma (Waweja nguruma yashiraga).

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...