Sunday 31 October 2010

Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach"






Ratiba ya kuaga mwili wa marehemu Syllersaid Mziray, "Super Coach" kwa ajili ya mazishi yake yanayotarajiwa kufanyika  kwenye makaburi ya Kinondoni,jijini Dar tarehe 1 November 2010.

Taratibu hizi zitaanzia Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania, Kinondoni Biafra kuanzia saa 4:00 asubuhi.

4.00 – 05.00 Kuwasili Waombolezaji

05.00 – 5.30 Viongozi, Wageni Waalikwa wa CKHT kuchukua nafasi zao.

05.30 – 6.00 Nyimbo za Maombolezo.

06.00 – 07.00 Kuwasili Mwili na Ndugu wa Marehemu.

07.00 – 07.15 Wimbo wa CKHT kupigwa.

07.15 -08.15 Misa/Sala.

08.15 – 08.20 Maelezo ya Wizara ya Michezo, Mwakilishi wa Wizara.

08.20 – 08.25 Maelezo ya TFF, Mwakilishi wa TFF.

08.25 – 08.30 Maelezo ya Simba Sport Club , Mwakilishi wa Simba.

08.30 – 08.25 Wasifu wa Marehemu CKHT .

08.35 – 08.40 Maelezo ya mwisho ya MMC VC.

08.40 – 08.45 Shukrani ya Familia,Mhusika wa Familia,

08.45 – 09.45 Kuaga mwili wa Marehemu.

10.00 – 10.05 Wimbo wa Chuo.

10.05 Kuelekea Makaburini Kinondoni


Saturday 30 October 2010

Mkesha wa siku ya uchaguzi Njenje

"Mi Arsenal anagalia"
Waziri akikumbusha watu kwenda kupiga kura
Keppy akifanya sound check
Kosovo na mkewe, hapo nyuma gari la Babu Njenje-Datsun SSS-wakubwa mnazikumbuka? Joginder Singh alikuwa anazitumia kushinda mashindano ya magari ya East African Safari
Wanamuziki wa Fimbo Band wakisubiri kuja kuchapa muziki
He huyu nilimuona TBC kwenye yale mashindano ya kudance yaliyoishia hewani
Oyaa kunani paleeeeeeee
Gere mama gere mama
Au kampeni?
Soloist-Fimbo Band
Conga Fimbo Band
Mpiga Bezi Fimbo Bendi
 Mpiga kinanda Njenje


Kama kawa Jumamosi ilianza polepole na kupata spidi kali, wanamuziki kutoka bendi ya Fimbo walitumbuiza. Shughuli ililazimika kukatishwa saa 9 na nusu ili watu wakawahi kujitayarisha na uchaguzi. Nyimbo ya mwisho..Nchecheme nchecheme leo oyaye..................waniacha napinda mgongo e kwanini usinambie

Rambirambi msiba wa Super Coach Mziray

Bendi ya Kilimanjaro wananjenje kwa masikitiko makubwa inatoa pole kwa ndugu marafiki na jamaa wa rafiki yetu na mpenzi wa bendi yetu Sylasaid Mziray. Mungu amlaze pema peponi Amin
(Pichani kushoto Mziray alipotembelea Bendi yetu akipiga rythm guitar katika wimbo wa Kilwa Jazz -Moyoni naumia) 

Friday 29 October 2010

Vote for LADY JAYDEE

Mwimbaji wetu mwenye mafanikio mengi yuko katika mchakato wa kuliweka jina la wanamuziki wa Tanzania katika ramani ya muziki. Tumpigie kura Lady Jaydee ili aweze kushinda (PAM Awards) tuzo za Pearl of Africa Music Awards ili kumpigia kura.....andika 36 acha nafasi, kisha andika Lady Jay D tuma ujumbe kwenda namba + 256 752 600 100

Saturday 23 October 2010

Yaliyojiri Njenje Okt 24 paleeeeeee Salendar Bridge Club

 Dito na Frank wakilisakata Chacha

 Cha cha cha si mchezo wakitoto ama unajua au hujui
 Babu Njenje kwenye drums, unajua kuwa ndie aliyerekodi drums kwenye wimbo 'BOKO'?
 Mgeni karibu...Kisauji yuleyule wa toka enzi za Babloom , aliporomosha vibao kadhaa vya Marijani Rajabu na Taarab moja, raha tupu...Utatupendaje wawili?
 Wapenzi walimwomba Kisauji aimbe Gere, akakubali kuwa ataimba kesho.
 Halahala mdomo na maik
Al Hadaada alikuweko, jana alikuwa hachezi kabisa, sijui alipigwa karantini?

DUARA 23 OKTOBA..NJENJE 23 OF OCTOBER 2010

KAMA KAWAIDA LEO DUARA LINAZUNGUKA PALEPALE ZAMANI PINK COCONUT, AU SALANDER BRIDGE JIRANI NA PALM BEACH HOTEL
THE KILIMANJARO BAND WILL BE PERFORMING AT THE SALANDER BRIDGE CLUB, JUST NEAR THE PALM BEACH HOTEL IN UPANGA. EVERY SATURDAY THE BAND HOLDS A CONCERT AT THIS NICE WIDE OPEN GROUND

Thursday 21 October 2010

Kilimanjaro Band-Njenje in Muscat this November.


The Kilimanjaro Band, Wananjenje watatua Muscat Novemba 16, 2010. Na watakuwa na onyesho moja tu Novemba 18  pale Sohar Garden Ras Al Hamra Recreation Centre.
The Kilimanjaro Band will arrive in Muscat on the 16 th of November 2010, ready  for a one day Gig at the Sohar Garden Ras Al Hamra Recreation Centre.

Saturday 16 October 2010

Mduarani 16 Oktoba

Kama kawa duara lilizunguka wapenzi wastaarabu walikuwa wengi, Bi Jane na Bwana Abdul walisherehekea birthday zao tunawatakia maisha mema. Khadija Mnoga 'Kimobitel' mwimbaji wa Extra Bongo alikuweko mpaka mwisho, karibu tena bibie




















RECORDING YA GERE DAR ES SALAAM NA LONDON

 Keppy busy on the desk at Marimba Studios
 Waziri Ally on the Keyboards
 Listening to recorded material
 Nyota adding vocals to Gere recording
 Is that okay?
 Marimba Studios
 Keppy and Moddy
 Babu Njenje very tired its about 3 in the morning
 Moddy checking the tracks
 Thats Keppy and Juma the Drummer
 At Odessa studios rerecording some tracks
 Odessa Studios South London
Odessa Studios

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA