Friday 19 November 2010

We are back



We arrived on Friday at about 1623 with Oman Air and went straight to Kempisky for a concert, for our friends who were celebrating their sixth year in marriage. A lot of drinking food and dancing. Saturday kama kazi palepale Salender Bridge Club

Wednesday 17 November 2010

Show ya Njenje Muscat PDO

Tulianza matayarisho saa nne asubuhi onyesho lilianza saa mbili usiku na kuisha saa nane usiku, kuna wapenzi wengi wa Njenje Muscat, Kiswahili utadhani uko Kariakoo
kuwasili asubuhi


Matayarisho

Vyombo vilikuwa na tatizo mixer ilikuwa ndogo kuliko tunayotumia kwa kawaida





Jioni






gere mama yanguuuueeeeeeeeee

JFK na Nyota


raha ndani ya roho

Babu Njenje ndani ya Conga

Tuesday 16 November 2010

Njenje usiku wa Idd Muscat









Siku ya Idd Mosi ilikuwa siku yenye kuleta faraja nyingi kwa wanamuziki wa Kilimanjaro Band. Tuliweza kutembelea bendi mbili kati ya tatu zinazotoka Tanzania ambazo ziko hapa Muscat. Jambo lililoleta faraja kubwa ni kukuta bendi hizo zikipiga nyimbo kadhaa za Njenje na tena kwa ufasaha mkubwa. Faraja ilikuwa ni ya aina mbili, kwanza kuwa tungo zetu nyingine za miaka mingi bado zinapendwa, na jingine ni kuwa kuna vijana wa Kitanzania wanaendeleza kwa ufasaha gurudumu letu. Tulijisikia tumepwa heshima kubwa na wanamuziki hawa kwa kuona kuwa kwa kupiga nyimbo zetu waliona kuwa wanapiga kitu kizuri katika show zao. Tulipokelewa vizuri, na kati ya maneno ambayo yalifurahisha ni ya mtoto wa mwanamuziki Hamza Kalala, ambae hujitambulisha kama Totoo Kalala aliyesema, " Wazee endeleeni kutunga ili tuwaige nasi tuweze kula".

Monday 15 November 2010

Njenje wawasili Muscat

 Keppy na Waziri safari ya kwenda lunch
Nje ya apartments tulizofikia

Stage ambapo litazungushwa duara

Milima ya huku mimea ni adimu, jua kali mawe kwa wingiii

Nyota na Abou wakitunga nyimbo mpya

Ngoja nile byeeeee
Katika safari ambayo ilikuwa ianze Jumanne tarehe 16, ghafla taarifa ilikuja kuwa safari ni Jumapili tarehe 14, na hivyo bendi ikalazimu kuharakisha ratiba zake kuwa mwaliko huo. Na sasa kundi zima la Njenje liko  Muscat Oman tayari kwa onyesho tarehe 17 jumatano katika ukumbi wa PDO.

Friday 12 November 2010

Mazoezini wiki hii

Mazoezini, haya mazoezi yalikuwa ya ghafla sana, kuna mtu alipata wazo la nyimbo tukapigiana simu na kukutana na kuanza kutengeneza kitu. Ilikuwa raha





ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA