ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 16 Januari 2011

Jumamosi ya 3 ya 2011 wanamuziki vijana wajitosa Njenje

Herbert Sax mwanamuziki kijana toka Uganda akipiga vyombo mbalimbali vya kupuliza

Herbert na Nyota


Herbert na Keppy

Abou na mwanafunzi wake wa kuimba aliyeimba vizuri wimbo Habibiy

nyongaaaaaaa kama kawa

Kitime  akihamasisha mduara


Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...