ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Alhamisi, 20 Januari 2011

Unakumbuka mkutano wa SULLIVAN kule Arusha? Basi Njenje walikuweko kuzungusha duara
Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Ama kwa hakika hili sii tukio la kubahatisha, ni baada ya kazi ngumu ya miaka mingi ndipo unaweza kubaini ubora wa kazi ya kundi hili la kilimanjaro band. Wito wangu kwa band nyingine waanza mikakati ya kupata kazi kama hizi. HONGERA SANA KILIMANJARO BAND. UCHERENAGO!!! WAZARAGATWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...