ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 23 Januari 2011

Yaliyojiri Njenje January 23

 Kulikuwa na birthday za watu kibao , Magreth wa TBC, Dr.......... mzee wa Botswana, it was fun. Kundi la mabinti kutoka Tanga aksante kwa kuinua kiwango cha kukata nyonga nchini hahahahaha. Kama kawa kulikuw na ugeni wanamuziki, Shaaban Manyanya alikumbusha enzi zake za kupiga drums. ROSE enzio viti vyenu vilibaki vyeupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mama Kosovo, Kosovo, na Bi Nyota

Mwanamke kucheka

Utamu
Nyoka huyo hana kiuno.......................

Nyonga kutoka Moshi we acha tu babangu

Babu Francis na Salum wakiangalia ofisi ya fedhaMaoni 1 :

Bila jina alisema ...

Bonge la show ambalo linaingia kwenye kumbukumbu za watu wenye mapenzi mema na muziki wa njenje.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...