ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Alhamisi, 10 Februari 2011

kilimanjaro Band kuwa Mwanza kwa Valentine...VILLA PARK

Wananjenje watazungusha mduara Mwanza siku ya Jumatatu 14 February 2011, katika ukumbi wa Villa Park. Ukikosa ni kosa

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

TANZANIA NI NCHI YANGU. KILIMANJARO BAND WANA NJENJE NI BAND YANGU. BURUDANI MWANZO MWISHO NA MUZIKII WENYE UBORA WA KIANGO CHA KIMATAIFA.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...