ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 13 Februari 2011

Mwanza here we come

MMMMMMMMMMHHH

Baby come back?

zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz

Kigoma tuko juu

Mwanza Airport

Meeting our long lost friend Mussa Khalid

Mwaaaaaaaaaaaaah

Wanafanana hawafanani?

Utakaaje Mwanza bila samaki


Show kesho Villa Park

Mara baada ya mduara Troop zima la Njenje lilikwea pipa kuelekea Mwanza, The Rock City.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Nimefurahi sana kumuona Khalid kwa mara nyingine tena akiwa mzima wa afya.
Nimefurahi pia kuona mkiwa makini kwa kuweza kuchukua sehemu kubwa sana ya vyombo muhimu sana ambavyo vinaumuhimu wa production yenu haswa live.
Nimefurahi pia kuwaona WAZIRI NA NYOTA WAKIWA KWARIBU NA DALILI YA KEMIA INAYOTAKA KUREJEA. NATAMANI NA KUMUOMBA MUNGU WATU HAWA WAWEZE KUWA PAMOJA TENA. Kazi njema wana njenje na watu wa mwanza mnabahati ya kukumbukwa.
TANZANIA NI NCHI YANGU NA NJENJE NI BAND YANGU . NINAWAPENDA SANA

Bila jina alisema ...

Du mpaka na fundi mitambo ndani! babu kapanda boeng kazi kweli kweli . Njenje hakuna ubaguzi wala KIJITI

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...