Tuesday 15 February 2011

Mwanza Villa Park kulikuwa raha Valentine


Nyota Abdallah wa Njenje na Anna Mwaole wa Super Kamanyola
 Ilikuwa raha sana kusikiliza kila bendi, na utamu ukazidi pale bendi zote mbili zilipounganika na kuanza kupiga muziki kwa pamoja. Nyimbo za zamani za Tancut, Maquiz, TP OK Jazz na kadhalika ziliporomoshwa. Onyesho lilifana kiasi cha kuwa kuna mipango ya kurudia tena, wakazi wa Mwanza kaeni chonjo, halafu Dar es Salaam
Waziri  na Parash

Wapenzi wa muziki wa Mwanza

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA