ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 6 Februari 2011

NJENJE JUMAMOSI 5 2011

Stono Masiyasika


Kitime, Anania, Babu Njenje, Waziri

Michuzi, Anania, Asia Idarous(Lady in Red), Kitime

Nyota

Juma Omary

Keppy Kiombile

Nyonga

Nyonga

Jamani Nyonga

Halooooo


Alikuwepo nyongani

Nyonga zilinyongwa

Loohhhh

HAloooooooooooooo

OGL Band

OGL

OGL

OGL

OGL


Innocent Galinoma alikuweko


Sote ni nduguAnania and John

Moddy and WaziriGalinoma akisaidiwa kuimba na mabinti

Kuboma!!!!!

Jive
Jana Njenje kulichangamka haswaaaaaaaaaaa. Kulikuwa na wanamuziki kadha wa kadha, Stono Masiya, Innocent Galinoma, Anania Ngoliga, OGL Band( Hii ni bendi mpya kabisa mali ya kampuni ya gesi ya Oryx Gas. Kujumlisha na Njenje wenyewe, palikucha. Nyoga zilinyongwa,vinanda vilipapaswa, magitaa yalikwanguliwa basi balaaaaaaaaaaaaa hata Machapati anajua hilo.

Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Asanteni saana wana njenje. SIKU ZOTE NASEMA NJENJE NI BAND YANGU NA TANZANIA NI NCHI YANGU.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...