ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumanne, 22 Februari 2011

Njenje katika sherehe ya sendoff ya Binti wa IGP Mwema
Mzee Mwinyi na Mzee Lowasa walikuweko
Mduara wa kwanza

Hayaaaaaaaaa

Bi Harusi mtarajiwa in Red, alipendeza mtoto wa watu

Tupige nyimbo gani baada ya hapa? Mi siwasilikizi natuma mesej homeKeki imekaa kama shepu ya mdada fulani

Gere mama yangueeeeeeeeeAsha Baraka, Nyota na Keppy

Mzee Mwema na familia yake


Maoni 1 :

Bila jina alisema ...

Hongera wana njenje,mpo juu na nyinyi ndio mfano wa kuigwa na bendi zetu hapo bongo,muziki wa ki utu uzima pia mshikamano wa muda mrefu wa kundi zima umewaletea heshima na mafanikio.Good luck and
may god bless you guys.
Garisoo "mosusu"jirani ya mzee Matsunaga,Chiba,Japan.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...