Tuesday 22 February 2011

Njenje katika sherehe ya sendoff ya Binti wa IGP Mwema




Mzee Mwinyi na Mzee Lowasa walikuweko




Mduara wa kwanza

Hayaaaaaaaaa

Bi Harusi mtarajiwa in Red, alipendeza mtoto wa watu

Tupige nyimbo gani baada ya hapa? Mi siwasilikizi natuma mesej home



Keki imekaa kama shepu ya mdada fulani

Gere mama yangueeeeeeeee



Asha Baraka, Nyota na Keppy

Mzee Mwema na familia yake


1 comment:

  1. Hongera wana njenje,mpo juu na nyinyi ndio mfano wa kuigwa na bendi zetu hapo bongo,muziki wa ki utu uzima pia mshikamano wa muda mrefu wa kundi zima umewaletea heshima na mafanikio.Good luck and
    may god bless you guys.
    Garisoo "mosusu"jirani ya mzee Matsunaga,Chiba,Japan.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA