Saturday 12 February 2011

Nyonga kukatika Villa Park

Kinyaunyau kikia cha pweza, Boko, Kachiri, Gere, Njenje, Maige, Tupendane Tummogele na nyimbo nyingine nyingi ambazo zimeweza kukaa katika akili za watu kwa muda mrefu sasa, utazikia 'live' Villa Park. Wapenzi wa Mwanza wanategemewa kukatika nyonga Jumatatu 14 February, siku ya Valentine. Njoo na mupenzi, ndugu, rafiki na jamaa

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA