ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Ijumaa, 18 Februari 2011

POLENI WAKAZI WA GONGO LA MBOTO

WANAMUZIKI NA WAFANYAKAZI WOTE WA KILIMANJARO BAND-WANANJENJE, WANATOA RAMBIRAMBI ZAO KWA WAFIWA WOTE WALIOTOKANA NA JANGA LA KULIPUKA MWA MABOMU JESHINI GONGO LA MBOTO. MUNGU AWALAZE PEMA PEPONI MAREHEMU WOTE. PIA TUNAMWOMBA MUNGU AWAPE AHUENI MAPEMA WAATHIRIKA WENGINE WOTE WA MABOMU HAYO. TUNAMWOMBA MUNGU AWASAIDIE WALIOPOTEANA WAWEZE KUKUTANA TENA MAPEMA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...