Tuesday 15 February 2011

Villa Park Mwanza kulikuwa saaaaaaaaaaaaaaafi

Abu na Nyota
 Kwa kweli ilikuwa raha sana, Kilimanjaro Band na wanamuziki wa Super Kamanyola, waliweza kuzikonga nyoyo za mamia ya wapenzi wa muziki wa Mwanza. Rumba lilipigwa, nyonga zili katwa haya picha hizi hapa


Mduara huo



Nyonga


Kata kata
































No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA