Tuesday 29 March 2011

Perfomances every Saturday at the Salender Bridge Club

 The Kilimanjaro Band also known as Njenje holds a five to six hours non-stop music performance every Saturday from 10.30 pm to early morning. The band which is now more than 35 years old combines this vast experience to produce an entertainment that will bring you back to the club week-end after another. The band comprises of 8 members
 






Saturday 26 March 2011

Cheka na Wananjenje 2

Mpenzi mmoja wa Njenje alisikika akimlalamikia mwenzie, 
" Aise jana nimeota ndoto mbaya kuliko zote toka nizaliwe", mwenzie akajibu 
"Duh kwani umeota nini?". 
" Nimeota niko kwenye chumba kimejaa mademu wazuri kama kumi na mbili", 
" Sasa hizo si ndio ndoto watu tunazitaka? we vipi?'. 
"Ndugu yangu si nimeota na mimi ni demu mojawapo?"

Monday 21 March 2011

Wasanii 13 wa Five Stars Modern taarab wafariki katika ajali mbaya


Bi Mwanahawa amenusurika japo kajeruhiwa vibaya
Kundi la Five Stars Modern Taarab limepata ajali mbaya sehemu za Mikumi wakiwa safarini kutokea Songea. Inasemekana ajali hiyo ilitokea baada ya  basi dogo walilokuwemo wasanii hao kugonga roli lililokuwa limeharibika. Wasanii 13 akiwemo mpiga solo Sheba Juma, Nassoro Madenge, Husna Mapande na Issa Kijoti, inasemekana wamefariki wakati wengine ni mahututi na wamekimbizwa Morogoro. Kundi hili lililokuwa linajulikana pia kama 'Watoto wa Bongo' lilizinduliwa Msasani Club tarehe 29 July 2009. Tunaomba  Mungu awalaze pema wote waliofariki na awanusuru waliojeruhiwa. Mwimbaji mashuhuri Bi Mwanahawa aliyeimba wimbo Kinyago cha Mpapure wakati akiwa East African Melody anusurika
Five Stars siku ya uzinduzi wa kundi lao
Wapiga magita wa Five Stars, Musa na Sheba

Wanamuziki wa Five Stars Watoto wa Bongo

Saturday 19 March 2011

Harusi ya Abraham na Zulfa

Ijumaa March 19, 2011 ni siku kubwa kwa Abraham na Zulfa, newly weds, ambao sherehe yao ilisindikizwa na muziki wa Kilimanjaro Band katika ukumbi wa Diamond Hall B.
Maharusi wakiwa na wapambe wao

Pongezi

Wazazi
Mzee Othman

Wazazi wa Abraham

Kukata Keki




Wazazi wa Zulfa


Duara muhimu


Mama akituzwa

Ohooo



Wajomba , baba  wakicheza ngoma ya asili




Sunday 13 March 2011

Mduarani News

Kama kawaida mambo yalikuwa moooto. Jana Birthday hazikukosekana na bibie Queen alikuwa anasherhekea siku yake ya kuzaliwa video kadhaa zipo




ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA