ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 27 Machi 2011

Birthday ya mwaka

 Mpenzi mmoja wa Njenje wa muda mrefu jana alitoa mpya katika kusherehekea birthday yake, yeye aliweza kugawa keki kwa karibu kila mtu aliehudhuria muziki kama njia yake ya kusherehekea siku yake hiyo. Mheshimiwa aksante kwa keki


Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...