ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 13 Machi 2011

Boko wala wenzioooooooooooo...............

Si mchezo saa kumi alfajiri watu bado wanazungusha duara hapa wimbo wa Kidigo Boko ukiwa unaleta raha, jamani Jumamosi ijayo mbona mbaliiiiiiiiiiiiiiii.?????????? Eh namwona Waziri kasahau Keyboards kaenda uwanjani anavimwaga...........chini chini Tanga kunani paleeeeeee?

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...