Saturday 26 March 2011

Cheka na Wananjenje 2

Mpenzi mmoja wa Njenje alisikika akimlalamikia mwenzie, 
" Aise jana nimeota ndoto mbaya kuliko zote toka nizaliwe", mwenzie akajibu 
"Duh kwani umeota nini?". 
" Nimeota niko kwenye chumba kimejaa mademu wazuri kama kumi na mbili", 
" Sasa hizo si ndio ndoto watu tunazitaka? we vipi?'. 
"Ndugu yangu si nimeota na mimi ni demu mojawapo?"

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA