ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 20 Machi 2011

Cheka na Wananjenje

Siku moja kijana mmoja alifika kwao akatangaza amepata mchumba, akawaambia wazazi wake, "Wazee mi nataka kumwoa Nasra huyo mtaa wa pili". Babake akamwita pembeni na kumwambia, 'Mwanangu haiwezekani, Nasra ni dadako nilimpata katika mishemishe za ujana, mamako lakini hajui." Basi jamaa akawa amekosa mke. Akahangaika baada ya mwaka akaja na mchumba mwingine, Josephine, baba yake tena akamwita pembeni na kumpa maelezo kama ya yule mchumba wa kwanza. Kijana akakasirika akaenda kumwambia mama yake skendo nzima. Mama yake akacheka kisha akamwambia, "Achana nae huyo we oa yoyote kati yao mwanangu, kwanza anajishaua tu wewe si mwanae."

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...