ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 6 Machi 2011

Jumamosi 5, march 2011, mambo kama kawaida
 
Kama kawaida mambo yalikuwa matamu. Kulikuwa na Birthday parties kadhaa, wengine na keki, Kitime na Babu Njenje wakapewa majukumu ya kufungua champagne, kulikuwa na wanandoa wapya waliotinga na mavazi yao rasmi ya harusi. Binti mdogo Vivian alipanda jukwaani na kuimba wimbo Ndugu Zangu kwa ufasaha japo ilikuwa ndo mara yake ya kwanza kupanda katika steji. Zilipendwa kadhaa zilipigwa, na mduara uliendelea mpaka saa 10. Nyoga jamani nyonga lohhhhhhhhhh

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...