Monday 25 April 2011

Jumamosi ya Pasaka mambo yalikuwa kama kawa

Abou katika mic kwa mbali duara linazunguka
Jumamosi mkesha wa Pasaka mambo yalikuwa zaidi ya kawaida. Wapenzi wa Njenje walifurahi kwa kujaa ukumbini kila nyimbo ilipopigwa na ilikuwa pia birthday ya Mc Joyce, maarufu kama Mc JOJO


Shufle ikiongozwa na Nyota mwenye gauni la kitenge

Abou na rafiki yake mpenzi Dimando

1 comment:

  1. Kweli PASAKA HII SHETANI kafungiwa . maana mambo yote picha za MNATO.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA