ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumatano, 27 Aprili 2011

Nyonga za mkesha wa Pasaka balaaaaaaaa

Kama kawaida ya  kila Jumamosi mambo yalikuwa mswano, nyonga zilinyongeka ilikuwa raha kwa kila mtu. Siyo siri kila Jumamosi Njenje huwa pana noga. Halo halo ya Njenje....kutia nazi kunoga

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...