ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Alhamisi, 21 Aprili 2011

Watu wametoka mbali jamani

Enzi za Bushtrekker

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Hii safi sana wana Njenje,mna historia nzuri ya kuja kuwaeleza watoto wetu kuhusu muziki wetu wa dansi Tanzania,Afrika na duniani kote.Siku zote mimi hurudia msemo wangu kuwa nyinyi ndiyo mfano wa kuigwa na wanamuziki chipukizi na pia ndio hasa kioo cha jamii,ujumbe wangu ni kumuomba mkuu Mabrouk(Babu Njenje)atunnge wimbo na "Popo bawa"na pia wa "Loliondo"naomba mkuu Kitime unifikishie salam hizi.Tupo pamoja,daima Wananjenje mpo juu.
Abbu Omar,Prof.Jr(Mwanamuziki)Tokyo,Japan.

Bila jina alisema ...

Mkuu Kitime salaam nyingi toka hapa Tokyo,Je ulinifikishia salaam zangu kwa mkuu Mabrouk(babu Njenje ???)na amejibu nini ??
Abbu Omar,Prof.Jr(mwanamuziki)Tokyo,Japan.

Bila jina alisema ...

Haya babu Njenje kazi kwako,sisi wapenzi wa Njenje damu tunasubiri hivyo vibao vya popo bawa na loliondo,tunakuamini kuwa wewe ni mtungaji mkubwa,tumekuwa wapenzi wa Njenje tangu enzi za Gogo hotel,kwa sasa tuko standby/mkao wa kula kusubiru vibao hivyo.Nyonga kwa kwenda mbelee!!!!
Jane and Joannah,Seattle,Usa.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...