Sunday 22 May 2011

NJenje Arusha

Ijumaa 20 May  wanachama wa TAPSEA walipata nafasi ya kupata burudani toka kwa Kilimanjaro Band, katika ukumbi wa AICC Arusha.  Mduara ulipigwa na nyonga zikazungushwa. Tena kulikuwa na kila design ya nyonga hapa.


Kibonde alikuweko

Moddy, Abou, Babu Njenje wakisubiri

Duara linazunguka na nyonga kwa sana

Wenyewe wanaaiita Ekutiiiii

Nyota

Waziri na nyota


Nyota akutana aliyefanana nae

No comments:

Post a Comment

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA