ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumapili, 8 Mei 2011

Pamoja na mvua nyongaa ziliendelea......

Kanku Kelly akijitayarisha nyuma ya jukwaa
 Siku ya jana Jumamosi May 7, Dar es Salaam kulikuwa na mvua kiasi wapenzi wengi wa Njenje walianza kuulizana kama kutakuweko na mduara usiku huu. Mambo yalienda safiii. Kulikuweko na ugeni wa wanamuziki kama Kanku Kelly ambaye alipanda na kupuliza trumpet yake katika baadhi ya nyimbo za Njenje ukiwemo Kisebusebu wimbo ambao utakuweko katika album mpya ya Njenje.
Babu Njenje, Abuu na Kanku Kelly

Kosovo na mdogo wa Meb

Nyota, Asia na mumewe

Waziri akipewa ushauri jinsi ya kupiga kinanda

Mama na mwana wakiwa wanaimba wimbo maarufu wa Juma Kakere 'Safari'

Waziri na Abuu

Watu wanarithi pesa mama karithi kipaji

Ilikuwa burudani jinsi "Nampenda Mpenzi Wangu Katu Simwachi" ilivyoimbwa hapa

Hakuna maoni:

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...