ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Jumanne, 5 Julai 2011

Juma Omary afiwa na mamake mzazi

 


Leo ilikuwa siku ya huzuni kwa mwanamuziki mwenzetu Juma Omary nasi wanamuziki wote wa Kilimanjaro Band kwani mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi jana katika hospitali ya Temeke na mama amezikwa leo katika makaburi ya Chang'ombe. Mungu amlaze pema mama yetu mpendwa.


Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Bw.Juma pole sana ndugu yetu kwa kumpoteza mama yetu mpendwa,nakuombea mwenyezi mungu akupe subira na uvumilivu katika wakati huu mgumu wa majonzi,Poleni pia Wananjenje wote kwa msiba huu
mkubwa wa kumpoteza bimkubwa wetu,Tumuombe mwenyeezi mungu aiweke roho yake pahali pema peponi.
Abbu Omar,Prof.Jnr.(Mwanamuziki)Tokyo.Japan

Bila jina alisema ...

Pleasant Post. This record helped me in my college assignment. Thnaks Alot

Bila jina alisema ...

Poleni sana wanafamilia ya njenje na haswa Bwana Juma Omar kwa msiba huo mzito.Bwana alitoa na bwana ame twaa na jina lake lihimiliwe.

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...