Tuesday 5 July 2011

Juma Omary afiwa na mamake mzazi

 


Leo ilikuwa siku ya huzuni kwa mwanamuziki mwenzetu Juma Omary nasi wanamuziki wote wa Kilimanjaro Band kwani mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi jana katika hospitali ya Temeke na mama amezikwa leo katika makaburi ya Chang'ombe. Mungu amlaze pema mama yetu mpendwa.


3 comments:

  1. Bw.Juma pole sana ndugu yetu kwa kumpoteza mama yetu mpendwa,nakuombea mwenyezi mungu akupe subira na uvumilivu katika wakati huu mgumu wa majonzi,Poleni pia Wananjenje wote kwa msiba huu
    mkubwa wa kumpoteza bimkubwa wetu,Tumuombe mwenyeezi mungu aiweke roho yake pahali pema peponi.
    Abbu Omar,Prof.Jnr.(Mwanamuziki)Tokyo.Japan

    ReplyDelete
  2. Pleasant Post. This record helped me in my college assignment. Thnaks Alot

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wanafamilia ya njenje na haswa Bwana Juma Omar kwa msiba huo mzito.Bwana alitoa na bwana ame twaa na jina lake lihimiliwe.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA