Leo ilikuwa siku ya huzuni kwa mwanamuziki mwenzetu Juma Omary nasi wanamuziki wote wa Kilimanjaro Band kwani mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi jana katika hospitali ya Temeke na mama amezikwa leo katika makaburi ya Chang'ombe. Mungu amlaze pema mama yetu mpendwa.
Bw.Juma pole sana ndugu yetu kwa kumpoteza mama yetu mpendwa,nakuombea mwenyezi mungu akupe subira na uvumilivu katika wakati huu mgumu wa majonzi,Poleni pia Wananjenje wote kwa msiba huu
ReplyDeletemkubwa wa kumpoteza bimkubwa wetu,Tumuombe mwenyeezi mungu aiweke roho yake pahali pema peponi.
Abbu Omar,Prof.Jnr.(Mwanamuziki)Tokyo.Japan
Pleasant Post. This record helped me in my college assignment. Thnaks Alot
ReplyDeletePoleni sana wanafamilia ya njenje na haswa Bwana Juma Omar kwa msiba huo mzito.Bwana alitoa na bwana ame twaa na jina lake lihimiliwe.
ReplyDelete