Wednesday 31 August 2011

Tuesday 2 August 2011

Vunja Jungu


Jumamosi hii ilikuwa ni vunja jungu, Kilimanjaro Bnad ilipiga muziki hadi kumi na moja kasorobo, watu walitoka hapo na kuwahi mabasi ya alfajiri. Bendi ya Kilimanjaro watakuwa likizo kwa kipindi chote cha mwezi wa Ramadhani

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA