ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

Alhamisi, 6 Oktoba 2011

Nyota's new song

Again Nyota has come up with another hit, after the evergreen Tupendane, Nyota brought us the song Gere, now a new hit Mbitembite is in the air. The Band will be in the studio in a few weeks time. Last minute changes are being added now.

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

Bi Nyota,Lazima nikupe hongera zangu za dhati kwa juhudi na mafanikio yako katika fani hii ya muziki Tanzania,you have been a srong female musician since then,jambo muhimu sana ulilolifanya ni kudumu katika bendi moja kwa muda mrefu bila kuyumba,na hii ndiyo siri ya mafanikio ya mwanamuziki yeyote yule.Ningeomba wewe uwe mfano na mwalimu wa kuwapa muongozo wanamuziki wetu chipukizi wa kike Tanzania ili nao wawe na mafanikio kama yako,tunasubiri kwa hamu huo wimbo mpya,pia salaam zangu kwa mkuu Mabrouk aka babu Njenje kuwa bado nasubiri ule wimbo wangu wa "Popo bawa" "Big up stong lady"
Abbu Omar,Pof.Jnr(Mwanamuziki)Tokyo,JAPAN.

Jigambe Team alisema ...

big up nyota kwa track yako hiyo tena support kubwa kwako so ni vzr kuitanga sehemu nyingi ili ipate support kubwa kwa wapenzi wa music na kiliband mngeisajili hiyo blogu yenu kwenye www.tanzaniakwetu.com na www.jigambeads.com ili kuwapata washabiki wa kutosha ni bure.

Profee alisema ...

Nimekubali dada yaani picha tu inaonekana unajua,ukipata time tembelea www.TanzaniaKwetu.com ili uweze kuisajili hii blog kule ili kuongeza idadi ya watu kuitembelea,pamoja sana mzalendo,

contact:
s.amari@jigambe.com

Kilimanjaro band wakamilisha nyimbo mbili, kuwa hewani katika muda mfupi ujao

KILIMANJARO BAND  wananjenje jana walikamilisha kurekodi nyimbo zao mbili ambazo zitakuwa hewani katika wiki chache zijazo. Hii ni mara ya...