Sunday 10 July 2011

Birthday ya Baby

Jumamosi njenje ilipambwa na shamrashamra za Birthday ya Baby.  Mambo yalikuwa swaaaafiiiii


Vinywaji kwa saaaaaana


Baby akigawa keki

Tuesday 5 July 2011

Juma Omary afiwa na mamake mzazi

 


Leo ilikuwa siku ya huzuni kwa mwanamuziki mwenzetu Juma Omary nasi wanamuziki wote wa Kilimanjaro Band kwani mwenzetu amefiwa na mama yake mzazi jana katika hospitali ya Temeke na mama amezikwa leo katika makaburi ya Chang'ombe. Mungu amlaze pema mama yetu mpendwa.


ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA