The kilimanjaro Band of Tanzania
Kurasa
Nyumbani
BOOKINGS/RATIBA ZA MAONYESHO
Wednesday 31 August 2011
Dansi la IDD
Mambo hayakuwa mabaya, pia tukapata ugeni wa wasanii wanafunzi toka THT, na Juma Kakere alipanda jukwaani.
IDD MUBARAK
IDD MUBARAK EVERYONE
Tuesday 2 August 2011
Vunja Jungu
Jumamosi hii ilikuwa ni vunja jungu, Kilimanjaro Bnad ilipiga muziki hadi kumi na moja kasorobo, watu walitoka hapo na kuwahi mabasi ya alfajiri. Bendi ya Kilimanjaro watakuwa likizo kwa kipindi chote cha mwezi wa Ramadhani
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)
ON STAGE
ON STAGE
TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA