Saturday 14 January 2012

Happy New Year wapenzi

Tuko tena hewani na tunawakaribisha katika blog yenu. Leo tena tutakuwa pale Salender Bridge. Mduara kama kaziiiiii

2 comments:

  1. Kaka Asante kwa kuiweka tena hewani blog hii yenye wingi wa matukio ya kutia furaha. Swali ni kwamba KATI TA WAZIRI ALLY NA KEPPY NANI SIMBA! Nawatakia kazi njema

    ReplyDelete
  2. Happy New MWAK kwenu wote pia! Pamoja Sana!

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA