Saturday 18 February 2012

Baada ya safari ya Arusha, Njenje uwanja wa nyumbani

Pamoja na kuwa na onyesho katika viwanja vya  Mount Meru Hotel Arusha siku ya Ijumaa usiku, wanamuziki wa Kilimanjaro Band waliwahi usafiri wa Kilimanjaro Express alfajiri ya Jumamosi ili kuwahi onyesho lao la kawaida pale Salender Bridge. Onyesho lilifana kwa kuwa na watu wengi sana. Pamoja na wote pia mwanamuziki Anania Ngoliga alipanda katika jukwaa la Njenje mara kadhaa na kutoa burudani kali


,

1 comment:

  1. Sipati picha combination ya magitaa hapo palikuwa hapatoshi. Good job JFK

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA