Friday 17 February 2012

Njenje Wakiwa Arusha kwenye sherehe baada ya mkutano wa Tanzania Law Society

Kama ambavyo imekuwa ikitokea kwa miaka kadhaa mfululizo Kilimanjaro Band tena ilipewa heshima ya kutumbuiza katika sherehe ya wanachama wa Tanzania Law Society. Safari hii mkutano ulikuwa Arusha, na jioni tulivu iliyokuwa na 'dinner' na Dance ilikuwa katika viwanja vya Mount Meru Hotel Picha za matukio hizo hapo.

Chini ya uangalizi makini wa Louis kifanga Babu Njenje anaandaa nyaya

Matayarisho ya steji

Moddy akitayarisha gitaa




Nyama choma


Life time award




Kata kata










1 comment:

  1. Weilcome back wananjenje tuliwakosa sana hapa jamvini. Na bila ya shaka arusha people wameburudika na leo jms wataduarika arusha kwa mara ya kwanza.

    ReplyDelete

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA