Sunday 4 November 2012

WAZEE WA KILIMANJARO BAND JUKWAA MOJA NA VIJANA

Kilimanjaro Band ni bendi kongwe lakini ni wazi haioni tabu kufanya kazi mpya, mwaka 2005 bendi ilishirikiana na wanamuziki wa Bongoflava kutoka Tanga na kufanya onyesho mjini Tanga. Bendi ilifanya mazoezi nyimbo za wasanii wa Tanga na kuwezesha live performance ya kazi zao. Kwa mara nyingine tena band itakuwa na show kubwa karibuni, na kwa wakati huu iko katika mazoezi makali na wanamuziki kadhaa wakiongozwa na MwanaFA jana waliweza kuonjesha wapenzi wa Njenje kitu gani wategemee baada ya kufanya onyesho la wasanii hao wakiwemo Mandojo, Domokaya, MwanaFA, Aboubakry Mzuri, Supper Sele. Kwa upande mwingine mtoto wa mwanamuziki nguli Mzee Shem Karenga nae alipanda jukwaani na kushika gitaa na kulipiga kuonyesha karithi kipaji cha baba yake.
Picha hapo chini 

Karenga
















Big Show William Malecella alikuweko

Weweeee Baba Pepe huyoo

Kosovo na Kitime



Super Sele

MwanaFA







1 comment:

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA