Tuesday 10 April 2012

Pumzika kwa amani Kanumba

Marehemu Steven Charles Kanumba si tu kwamba alipenda muziki alikuwa pia na uwezo wa kupiga gitaa na kinanda. Kila mara alipokuja Njenje alishiriki nyimbo alizoziweza. We will miss you Kanumba



Mungu Amlaze pema peponi

ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA