Saturday 17 November 2012

MDUARANIIIII SALENDER BRIDGE CLUB

Njenjeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee aa Njenje kuna raha, watu wana sura za furaha, wanacheza sana, huku muziki sio kuangalia, huku utacheza tu hakuna stage show huku, muziki ukikuingia katika damu unajimwaga uwanjani Haloo haloo ya Njenjeeeeeeee Kutia Nazi Kunogaaa................... angalia mapicha we acha tu




Juma Disco

Watoto wa Magomeni haooo

Waziri, Mutuz, Kitime

Moddy Mrisho

Tanga kunani paleeeeee


Kitime na Delfe

Saturday 10 November 2012

MSHINDI WA PILI WA EPIC BSS ASHEREHEKEA USHINDI NJENJE

Waziri na Salma

Kitime na Salma

Nyota na salma

Nyota , Salma, Waziri
Leo ilikuwa sherehe kwa Salma kufika maskani yake ya kawaida baada ya wiki kadhaa za ushindani wa Epic Bongo Star Search, ambapo aliweza kufikia kuwa mshindi wa pili. Kama kawaida alifika hapa na kuimba wimbo wa Ndugu Zangu... Congratulations Salma, ukiamua kufwata muziki utafika mbali.

Sunday 4 November 2012

WAZEE WA KILIMANJARO BAND JUKWAA MOJA NA VIJANA

Kilimanjaro Band ni bendi kongwe lakini ni wazi haioni tabu kufanya kazi mpya, mwaka 2005 bendi ilishirikiana na wanamuziki wa Bongoflava kutoka Tanga na kufanya onyesho mjini Tanga. Bendi ilifanya mazoezi nyimbo za wasanii wa Tanga na kuwezesha live performance ya kazi zao. Kwa mara nyingine tena band itakuwa na show kubwa karibuni, na kwa wakati huu iko katika mazoezi makali na wanamuziki kadhaa wakiongozwa na MwanaFA jana waliweza kuonjesha wapenzi wa Njenje kitu gani wategemee baada ya kufanya onyesho la wasanii hao wakiwemo Mandojo, Domokaya, MwanaFA, Aboubakry Mzuri, Supper Sele. Kwa upande mwingine mtoto wa mwanamuziki nguli Mzee Shem Karenga nae alipanda jukwaani na kushika gitaa na kulipiga kuonyesha karithi kipaji cha baba yake.
Picha hapo chini 

Karenga
















Big Show William Malecella alikuweko

Weweeee Baba Pepe huyoo

Kosovo na Kitime



Super Sele

MwanaFA







ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA