Monday 17 June 2013

NJENJE YAANZA KURITHISHA WANAMUZIKI VIJANA

Kama kawaida ya mtu mwenye busara umri ukiwa mkubwa unaanza kurithisha kipaji kwa vijana na ndivyo ilivyo kwa Njenje, angalia baadhi ya wanamuziki hawa wakiwa jukwaani













WASANII WA FILAMU WASHEREHEKEA TUZO ZAO KWA MDUARA

Baada ya kupewa tuzo zao wasanii kadhaa wa Bongo Movies walifurika Njenje wakia na Awards zao katika kusherehekea  siku ya hiyo ya furaha. Picha
Best Director 2013








HAPPY BIRTHDAY BABU NJENJE

Jumamosi hii Babu NJENJE alisherehekea birthday yake pale Salender Bridge Club, tena safari hii binti yake anaeishi Uingereza alikuweko na kumpatia keki nzuri sana baba yake. Babu Njenje anetimiza miaka 67 pia anatimiza miaka 66. Pamoja na Babu Njenje, Lady JD Na Bi Shakila wote wamezaliwa siku hii. Tunawapa wote Happy Birthday na kuwatakia maisha marefu na mema.




ON STAGE

ON STAGE
ON STAGE

TUNAANZA MWAKA NA NGUVU MPYA